Ads 468x60px

AddThis Smart Layers



HABARI UDAKU NA NYINGINE NYINGINE NYINGI UNAWEZA KUZICHEKI KILA SIKU KUPITIA BLOG YAKO HII YA KIJANJA KARIBU SANA











Saturday, September 26, 2015

Ajali

Imetokea maeneo ya kongowe mwisho kama unaelekea twangoma. Gari hilo lilikuwa linatokea maeneo ya twangoma nakuja kongowe mwisho ndipo lika feli break na kuingiza mtoni kuokoa maisha ya watu wengine.